Hahahaaaa hajui sauzi yalitukuta yapi!Tatizo Sister anajua mnaenda hatua inayofuata....
Lakini hivi sasa naona katulia, sijui kuna mtu kama za mashavu kwamba "... usitupige kelele wakati mshatolewa... [emoji1787] "
Simba wametolewa kishujaa,na juhudi za wachezaji mechi hii zimeonekana,kama utaki acha mwakani Simba itashiriki tena itarekebisha makosa.Hamna cha kufa kishujaa wala nini,mngekuwa mnajua mpira msingeruhusu magoli yote yale mechi ya kwanza.
Swali la kwanza hilo ndio ntk majibuSijui kwanini kacheza dakika zote 90 (Mugalu)
Sijui kwanini simba walicheza mipira mirefu, sijui kwakweli
Wamekosa nafasi nyingi za wazi wangeweza kufunga ata 6 bila
All in all wamejitahidi. Kipindi kingine tena Inshaallah
Kwamaana hiyo Simba na Mamelod Zina viwango sawa.Hamna cha kufa kishujaa wala nini,mngekuwa mnajua mpira msingeruhusu magoli yote yale mechi ya kwanza.
Mkiendelea na hii mind set ya kijinga mtakuwa mnaishia kupongezana kea upuuzi.Congrats to the lads.. what a game..what a performance.
Kwa Mkapa panaendelea kubaki moja ya viwanja vigumu sana afrika kwa wageni kupata ushindi.
Pamoja hii game ilikuwa yetu kabisa,sema kama wachezaji walichoka ama kujisahau katika kutafuta idadi ya magoli.
Binafsi nampongeza kila mmoja, hakika Simba inaendelea kuweka bars..
Ndege mbona tunapanda sana tu, hata michezo ya ligi kuuHampandi tena ndege
Pole mkuu ila nakushauri utoke huko Asenali nenda timu nyingineKatika maisha hangu ya soka kuumia kama hivi imetokea mara chache mnoo haswa ni arsenal kufungwa fainali 2006 ya uefa na barca, ufaransa kufumgwa na Italy world cup 2006..
Kidoogo hapa katikati atletico kupoteza zile fainali za uefa mara 2 mbele ya real madrid.
Na leo hii, aisee leo imeniuma haswaa.. [emoji17]
Hapana,kukosa magoli ya wazi sio swala la mpaka azowee ni uwezo wa mchezaji kukosa umakinifu wa akili na unyambulifu wa mwili,Mugalu alivyomzito wa mwili na akili yake ni nzito hivyohivyo.Wewe unataka kuturudisha enzi za Tambwe ili tusote tena kupata fowadi mwingine mimi naona wamuache kwanza azoee mazingira pale Simba
Simba na Mamelod zote hazina mpira, ndomaa zimebaki? Kuna muda mpira una maajabu yake tu, hata zile goli 4 kule South sielewi tulipigwaje, Kizer hana mpira wa maana.Kama hawana mpira mmesonga mbele?
Waulize Mamelod Sundowns kama hayo maneno matupu ni rahisi kutekelezeka.Mkiendelea na hii mind set ya kijinga mtakuwa mnaishia kupongezana kea upuuzi.
Timu iloyokomaa na kujielewa inatafita goli ,ushindi au draw ugenini Ili wafike mbali .Mkienda na huu ujinga msimu ujao mtaishia kujifariji kama saizi.
Pole sana mkuu, maisha ndivyo yalivyo...MALCOM LUMUMBA Tukutane july 3
Nyinyi manamsema simba mmefanya nn zaidi ya gubu km mwanamke malayaHamna cha kufa kishujaa wala nini,mngekuwa mnajua mpira msingeruhusu magoli yote yale mechi ya kwanza.
Haya niambie hicho kitu, au nikugeuze nikupige tu mpingoSubiri ukalie mpingo wewe baada ya mechi nina kitu nitakuambia!