Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Ile mipira yoote iliyokua inakoswa tusimlaumu boko jamani kuna mpambe wa yanga ndio katufelisha
Your browser is not able to display this video.
 
Daah leo simba imeupiga kisnge yani kuna time nilikua namuona morisson kama yesu
Uyu jamaa Kwenye hi michuano sijui kwanini ALIKUA hapewi nafasi.

Anapunguza beki balaa.

Yaan Morrison na miqsone wamewachosha Sana mabeki wa keizer
 
Kweli kabisa mkuu yani hawa utopolo na kile kibabu cha jana ndio waloweka mkosi

Nashangazwa na fans kuwalaumu mugalu na boko wakati wanga wetu wanafahamika
 
Hama timu, usitarajie mwamedi FC kubeba kombe lolote kwa Africa siku za hivi karibuni, ligi na mapinduzi cup ndie makombe mnaweza kuchukua.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Uyu jamaa Kwenye hi michuano sijui kwanini ALIKUA hapewi nafasi.

Anapunguza beki balaa.

Yaan Morrison na miqsone wamewachosha Sana mabeki wa keizer
Nilikua mtu wa kwanza kabisa kupingana na kamati ya simba kumsajili huyu jamaa lakini leo hii najiona mjinga sana kwa mawazo yale

Leo hii ndo nimegundua kwanini yanga walitaka kwenda hadi fifa kwa ajili ya morisson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…