Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

maandalizi ya july 3,rasmi yameanza leo.

pamoja na mbeleko za tff kumukwepesha simba na kipigo kutoka kwa yanga,sasa rasmi ataukalia hiyo tarehe 3!

wazee wa mbeleko wameshindwa kubebeka.

wiki karibu tatu bila kucheza mechi yoyote,na bado wamekaa.

ahahah.
 
Aliyemleta mugaru mungu anakuona dah[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mugaru ni taka taka.May be Nusu ya mshahara anamalizia kwa waganga.
Offside yeye,kukosa magoli yeye. Ila bado yumo tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] dalili za kuchanganyikiwa hizi,kila mwaka maneno ni yaleyale tumetoka kiume
Tulia wewe shughuli ya leo ilikua sio ya kitoto, mzulu bila kupoteza muda na mbeleko ya refa kukataa ile panalt alikua kaishapotea
 
maandalizi ya july 3,rasmi yameanza leo.

pamoja na mbeleko za tff kumukwepesha simba na kipigo kutoka kwa yanga,sasa rasmi ataukalia hiyo tarehe 3!

wazee wa mbeleko wameshindwa kubebeka.

wiki karibu tatu bila kucheza mechi yoyote,na bado wamekaa.

ahahah.
cheki naye huyu
 
Inaumiza sana tungeshinda magoli mengi sana leo shida Mugalu ananukusi.
 
Mugaru ni taka taka.May be Nusu ya mshahara anamalizia kwa waganga.
Offside yeye,kukosa magoli yeye. Ila bado yumo tu.
🤑🤑🤑🤑💃💃💃🎸🎸🎸♨️♨️👏👏👏👏👏
 
Mugàlu ana faida kama timu haikai na mpira muda mwingi na haifiki ndani ya 18! Lakini kwa mechi kama ya leo muda mwingi mpira uko ndani ya 18 ya wapinzani, Kagere angetunyanyua sana! Ila hayo yamepita tunamsubiri utopolo!! Hasira zote zitaishia kwa utopolo!! Ole wenu vinginevyo gomeni tena kuleta timu uwanjani.
 
Simba v Yanga julai 14 akicheza Mgalu tutafungwa ananukusi za kufa mutu.
 
Back
Top Bottom