Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
-
- #21
Wale wakutumia simu kucheki mpira tupe website...
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
ShangweSharma sharma ndio nini?
Shangwe zinazoambatana na picha kutoka kiwanjaniSharma Sharma Ndo nini....!
🤣🤣 Waone aibu wakati hata korona iliogopa hizo vitu..Zipo huko Facebook kwenye ukurasa wa caf naona wanapost matunguri na mapaka tuu. Aibu kubwa kwa nchi wanafikiri ule ukurasa unasomwa na watu wa mbagala tuu
Hi ndo shida ya Simba wanaamini matunguli yatawasaidia....Zipo huko Facebook kwenye ukurasa wa caf naona wanapost matunguri na mapaka tuu. Aibu kubwa kwa nchi wanafikiri ule ukurasa unasomwa na watu wa mbagala tuu
No comment [emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787] Waone aibu wakati hata korona iliogopa hizo vitu..
Utanzania raha nyie [emoji1787]
Natamani dakika 90 zishe zile pressure pale Taifa[emoji1][emoji1]
Ili nishuhudie pressure pale Taifa [emoji1]Natamani dakika 90 zishe zile pressure pale Taifa[emoji1][emoji1]