Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Simba v Yanga julai 14 akicheza Mgalu tutafungwa ananukusi za kufa mutu.
 
Hapa Mo,Mugalu na Kocha kuna mchongo wanacheza.Wanasimba tuamuke Sasa mapema.
 
Utopolo kwenye ubora wake
 
Baada ya Simba kuingia robo fainali,caf championship league ilipoteza mvuto. Sasa hivi imeanza kurejesha heshima yake,ngoja nianze kuifuatilia tena
 
Simba wanalengo lakufika nusu fainali na ikiwezekana fainali lakini pia ni wakati wakutafakari mechi za ugenini zinavyowasumbua. Sikuwa na shaka kuwa mechi ya leo simba angeshinda ila shaka yangu ilikuwa atapata magoli manne au matano? Mechi za ugenini wachezaji huwa wanakosa komfidensi kabisa ni wakati Sasa simba waelekeze nguvu ni jinsi gani wataweza kukabiliana na mechi za ugenini. Group match hata ukifungwa goli kumi itabakia point tatu zmeondoka lakini kwenye hatua ya mtoano timu ikishakuotea magoli mengi away inakuwa na kibarua kigumu kutafuta magoli mengi nyumbani na mpinzani kwa sababu ashafunga magoli mengi nyumbani kazi yake ni kudefence na kupoteza muda
 

Mkuu Simba ugenini hawezi kuloga,hiyo ni siri nakufichulia usimwambie mtu. Kwa kifupi uchawi hauvuki bahari,kama unaona nakudanganya muulize Mshana Jr
 
Dawa pekee ni kucheza Mechi nyingi za kirafiki ugenini.

Simba ishakuwa maarufu kwa ivo haitakataliwa na timu kubwa za Afrika kucheza nazo.
 
Ndo maajabu nayoona kwa stricker kukaba mabeki lakini yeye na kipa nafasi tatu anakosa tena mechi muhimu za kimataifa!
Bongo kuna wachambuzi wa mpira basi, wengi ni wachambuzi wa mchele tu.
 
Muskuru sana mmetoka na tugoli 3 angalau, otherwise huko semi mungeibika kichizi kwa waarabu.. ..yani mngechezea sio chini ya goli 10 na kwendelea.


πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Utopolo kwenye ubora wake
Dah! We jamaa huna shukrani kabisa!! Wewe umeuliza maswali, raia wakakupotezea; sasa mimi kwa nia njema naamua kukujibu swali moja baada ya lingine ndo ushaniona utopolo, sio?!

Sawa bhana...
 
Muskuru sana mmetoka na tugoli 3 angalau, otherwise huko semi mungeibika kichizi kwa waarabu.. ..yani mngechezea sio chini ya goli 10 na kwendelea.


πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
halafu wangefungwa wewe Topolo ungepata nini
 
We msengeh kweli, unatia kinyaa, wanaume tumepambania nchi ulimozaliwa wewe mbwah, goli 3 sifuri halafu unaongea nini hapa ..maskini ni maskini tu yan unachukia mafanikio ya simba utabakia umaskini tu
Hahahahaha mkuu mbona kama umetoroka MILEMBE? Povu hili lote la nini wewe MWAJUMA?
TAR 3 JULY TUNAKUNYOA VUZI HILO.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…