Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Hakika tumepambana kiume, asiyekubali kushindwa sio mshindani.
 
Hivi kwa huu mpira wa sasa wa Simba nyinyi mtauweza?
Huna akili wewe. Mpira unatokana na mechi husika na juu ya timu pinzani inachezaje.... Mashabiki wa Simba ni wapumbavu na wasio na AKILI KICHWANI. Mpira unaochezwa uwanjani huwa unategemea zaidi unacheza na nani, kiwanja gani, muda gani, physical fitness ya timu yako ikoje nk. Ingekuwa hivyo SIMBA ASINGEFUNGWA NA PRISON BOYA WEWE.
 
Haya niambie hicho kitu, au nikugeuze nikupige tu mpingo
Umejitahidi sana mtani ila kojo unalo mwilini unahangaika nalo.Walipokupiga kisiki na kukumwagia kule kwao mpaka mwakani ndio utakuwa ushazaa!
 
Mkuu Simba ugenini hawezi kuloga,hiyo ni siri nakufichulia usimwambie mtu. Kwa kifupi uchawi hauvuki bahari,kama unaona nakudanganya muulize Mshana Jr
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Sawa japo huwa siyaamini hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…