Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,384
- 3,254
Twende Kazi Chama lawana Simba Sc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruvu ndio yupo nyumbani Simba wageniHivi hii mechi nan yuko nyumbani, ruvu or simba!!!!
Kama ni simba mwanzisha uzi mbona kutuchanganyia habari
Ukweli mchunguImekuuma sana[emoji28].
Muzamiru kaanza ujinga wakeYule ni mzamiru eeeh?
Mbeba hirizi wetu ni MzamiruMzamiru ana nini kila mechi anapangwa yeye tu
Umeona eeh hasa huyu Buswita wamuangalie sana huyu na maji mengiKuna viuzembe simba wanacheza hapa kwa ujeuri ya kuongoza
Anakosa magoli ya wazi kabisa, lazima tuseme tu.Daaah sasa hapa hata tulisema tutaonekana wanafki maana ni sekunde zimepita tangu tumsifie
Anyway hecko boko
Asante mkuuRuvu ndio yupo nyumbani Simba wageni
Dk bado nyiiiingi, we subiri magoli yataongezwa tuSimba haina wafungaji. Ilitakiwa iwe 0-4