FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

We Shadeeya unapendwa sana humu na unaongea vizuri sana, huna dharau wala lugha kali.

Bahati mbaya mimi sielewi jinsia yako, hivi wewe ni mwanamke au mwanamme. ?
🤣🤣🤣🤣
Hili nalo swali? Ushabiki na jinsia wapi na wapi😇😤

Shadeeya kuna swali la shabiki kindakindaki umeulizwa huku...😁😄🤣🤣
 
kwani jana imeshinda goli ngapi we nijibu tu hata kama una maumivu
Simba ya sasa uwezo wa kumfunga mtu hata goli 3 hawana!
Watanzania ni wepesi kusahau..nimajuzi hapa simba imeshindwa kufurukuta baina ya timu iliyo pungufu ...ikawatumia washambuliaji wake woooote lakini wapi hawakupata hata goli moja!...
Hebu tutafakari.
 
Back
Top Bottom