mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Itisha press mkuu! Maana kila dakika marefa. Mimba amepewa mwingine, uchungu unakupata wewe.Hivi kuna watu wanaangalia ujinga na upuuzi wa Hawa marefa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itisha press mkuu! Maana kila dakika marefa. Mimba amepewa mwingine, uchungu unakupata wewe.Hivi kuna watu wanaangalia ujinga na upuuzi wa Hawa marefa
Tunaweza kusema ni kukamia ila kimpira tunaita game approach. Ambacho cha kwanza mwalimu anaenda kucheza huku akimuheshimu mpinzani wake kuwa ni bora kuliko yeye hivyo hana cha kufanya zaidi ya kuwazuia kufunga goli la mapema. Hivyo akili yake inawaza katika kujilinda zaidi kwa kupaki basi kisha amsubiri mpinzani wake afanye makosa kwa kucheza counter attack. Hiyo ndio silaha kubwa kwa timu underdog inapocheza na mpinzani.Ilikamiwa
[emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji1]Ilikamiwa
Haha!ila mashabik wa simba mnakera sanaa...na ndo maana mkiwa kweny hali mbaya mnakuwa wanyonge haswaNaweza nikakaa na debe la shanga golini
Naweza nikakaa na debe la shanga golini nikawa natunga kamoja kamoja mpaka zinaisha na kusiwe na mpira hata mmoja uliokuja golini
nikawa natunga kamoja kamoja mpaka zinaisha na kusiwe na mpira hata mmoja uliokuja golin
Pooole , pole Sana! Soka ina Maajabu Sana! Kwa Mfano tu We Fikiria Nyinyi Utopolo Gapu lote hili lililopo Halafu 'eti' mtu Aje Akwambie Kwamba 'Kwapa' Mwaka Huu Hamnyanyui..! Utamwelewa Kweli..? Hilo ndo SOKA..!Sasa ni half time mechi kati ya simba na Ruvu shooting..tatizo sio simba lakini najiuliza
kwanini hawa barcelona ya bongo hawana ari ya mchezo? Kwanini hawakabi?
Kwanini wanakua kama wana support mashabulizi yaende langoni kwao?
Kwa style hii ina maana mechi hii itaisha kwa goli ushindi wa simba kwa goli 12+
Game hii kwangu ni moja ya game mbovu kabisa kuwahi kushuhudia hapa Tz
Bado nimebaki na maswali mengi ni nini kimetokea...kwa kuifahamu simba hii uwezo wa kutawala mpira kiasi hiki hawana ..na hilo hata wana simba wenyewe wanalijua..
Wacha tusubiri 2nd halftuone kitakachofuata..lakini mpira hakuna hapa leo...
Mpira wa upande mmoja?au ni waamuzi maana pia hata faulo nyingi zinaelekezwa kwa ruvu..
Any way..
Tusubiri.
Simba iliyomfunga mtu goli 7 ni simba ipi yakale au ya sasa?Simba ya sasa uwezo wa kumfunga mtu hata goli 3 hawana!
Watanzania ni wepesi kusahau..nimajuzi hapa simba imeshindwa kufurukuta baina ya timu iliyo pungufu ...ikawatumia washambuliaji wake woooote lakini wapi hawakupata hata goli moja!...
Hebu tutafakari.
[emoji28][emoji28][emoji28]Dewji fanya mpango uanzishe Mo chapati, ili asbh kama izi tumemka na vibe tunajilia tu
Sio MO Chapati tu.Dewji fanya mpango uanzishe Mo chapati, ili asbh kama izi tumemka na vibe tunajilia tu
😀😀
Tatizo mnakariri, na hiki ndicho kitawaumiza wapinzan wa simba.Simba ya sasa uwezo wa kumfunga mtu hata goli 3 hawana!
Watanzania ni wepesi kusahau..nimajuzi hapa simba imeshindwa kufurukuta baina ya timu iliyo pungufu ...ikawatumia washambuliaji wake woooote lakini wapi hawakupata hata goli moja!...
Hebu tutafakari.