Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Pole sana mkuu, umeandika kwa uchungu sana, na inaelekea hukujiandaa kabisa kupokea matokeo ya namna hii, nahisi matokeo yaliyokuwa kichwani mwako ni kwamba Simba anaenda kupoteza mechi hiiKwanini wanakua kama wana support mashabulizi yaende langoni kwao?
simba hii uwezo wa kutawala mpira kiasi hiki hawana. au ni waamuzi maana pia hata faulo nyingi zinaelekezwa kwa ruvu..
Umeanza kuwashutumu Ruvu, ukaja kuwadharau Simba, ukamalizia kuwalaumu waamuzi! Pole sana, siku na wiki hii imekuwa mbaya kwako