Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Tz hakuna team ambayo anastahili kushangilia akiifunga.Nachofurahi ni kumuona chama anapofunga halafu hata ashangilii
Huyu dogo apewe muda badala ya wale wa kina Dilunga.Umemuona Banda [emoji91][emoji91][emoji91]
Hatari sana hii huyu Banda huyuBamutu batalokota benyewe kunyavu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Utaumwa ugonjwa Wa moyo.Makolo wanacheza na viwete
[emoji23][emoji23]Papaso Square Squid.View attachment 2121223
Umecheza nao juzi tu na haukuwapiga goli 3.Makolo wanacheza na viwete
Bomu limepigwa mochwari na kujisifu umeuaUtaumwa ugonjwa Wa moyo.
Chama hawezi shangilia Kwa Hawa watoto sio kama MayeleNachofurahi ni kumuona chama anapofunga halafu hata ashangilii
Wewe team yako iliwapiga goli ngapi ulivyocheza nao??Bomu limepigwa mochwari na kujisifu umeua