Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2

Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2

Ila Wana siasa hawasikii kwaninii? Waja tulisema hapa, wawaache watoto wacheze kwa ari na morari yao pasipo hata kupata presha na rapsha za hao watu wa kijani.

Hawasiki, wamefanya team imekosa ushindii, veggies wana Nuksi na Gundu, hivi hawajajifahamu bado au? Wanakera sana, wananukaa damu za hao ndugu wa watoto waliopotea Oct 2025. Si watulie huko Dom mjengoni kwao wagonge meza.

Mxxxiiiieeeew!

Tatizo wanatafuta sifa na kujipendekeza katika kila jambo ili waonekane wao ndiyo wanafanya...

Wanajiingiza ili wakishinda basi wao wameimbiwe mapambio.....

Wangeachwa tu wapambanie hilo kombe kama motisha pekee kwao, si kuingiza sijui nini....

Kila kitu lazima iwekewe siasa, wanasiasa wanaingia kutafuta sifa binafsi.
 
Yani pale mbele wamefanya utoto sana ambao tungeshinda sio chini ya goli3 unlkauta watu watatu wanakimbiza mpira hawaachani ili wapeane pass fupi fupi! Namna gani hapo mbele! Yani mpk mtu unainuka unalaani namna gani vijana.. kilichoniudhi zaidi kocha anaona ujinga wote hazbadiliki ameona tayari nao wanapokonya mipira mara waligundua tunacheza kwa kurelax pass 700 kocha anaona wanapiga pass dar mpaka ikwiriri habadiliki! Anaacha tunaanza kutumia mindset ya kuzuia sasa jamani
TANZANIA ingeshinda kama SAMIA (SHETANI) asinge tajwa kwenye hamasa na maombi. MUNGU wetu hapendi waabudu shetani
 
Tatizo wanatafuta sifa na kujipendekeza katika kila jambo ili waonekane wao ndiyo wanafanya...

Wanajiingiza ili wakishinda basi wao wameimbiwe mapambio.....

Wangeachwa tu wapambanie hilo kombe kama motisha pekee kwao, si kuingiza sijui nini....

Kila kitu lazima iwekewe siasa, wanasiasa wanaingia kutafuta sifa binafsi.
Wanakera sana hawa veggies, basi tuu aah.
 
Gudubai mmetaka wenyew mkaleta siasa mngewaacha vile vile haya rudin haraka😂
FB_IMG_1780436659577.jpg
 
Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (U-17), maarufu kama Serengeti Boys, leo inashuka dimbani kuivaa Senegal U-17 katika mchezo wa mwisho wa michuano ya TotalEnergies AFCON U-17.

Mchezo huo utaanza saa 4:00 usiku katika Uwanja wa Stade Moulay Hassan, Rabat, Morocco, ambapo Tanzania U-17 (Serengeti Boys) itakuwa ikimenyana na Senegal U-17 katika fainali ya michuano ya CAF U-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026.

Senegal wanakuja wakiwa na uzoefu mkubwa, nguvu, na kasi, lakini soka la kisasa limeonyesha kuwa dakika 90 ndizo zinazoamua na hakuna timu ndogo tena Afrika.

Swali linarudi kwako shabiki wa soka:
  • Je, mbinu na uzalendo wa Taifa Stars utatosha kuwazuia Simba wa Teranga?
  • Au uzoefu na ukongwe wa Senegal utatawala mchezo wa leo?
Kete yako unaitupa wapi leo? Weka utabiri wako hapa chini!


Game ipo on fire dakika 5 ya mchezo

Dakika 7 Serengeti Boys wanafunga goliiiiii zuri sana

Dakika 11, Serengeti boys wanapeleka moto

Dakika 22, Bado vijana wa Tanzania wanaongoza

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika kibabe kabisa Serengeti Boys wakitoka na uongozi wa goli moja kwa sifuri

Dakika 45 za kipindi cha pili zimeanza

Alhamdullilah kwa matokeo mazuri waliyoyapata timu yetu ya vijana ya Senegal.
 
Tuliwaambia mapema waacheni madogo wamalize kama walivyoanza lakini mkipelekana huko mkajazana machawa mtawapa pressure madogo mtawatoa mchezoni na ndio kilichotokea..🚮
 
Back
Top Bottom