Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (U-17), maarufu kama Serengeti Boys, leo inashuka dimbani kuivaa Senegal U-17 katika mchezo wa mwisho wa michuano ya TotalEnergies AFCON U-17.
Mchezo huo utaanza saa 4:00 usiku katika Uwanja wa Stade Moulay Hassan, Rabat, Morocco, ambapo Tanzania U-17 (Serengeti Boys) itakuwa ikimenyana na Senegal U-17 katika fainali ya michuano ya CAF U-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026.
Senegal wanakuja wakiwa na uzoefu mkubwa, nguvu, na kasi, lakini soka la kisasa limeonyesha kuwa dakika 90 ndizo zinazoamua na hakuna timu ndogo tena Afrika.
Swali linarudi kwako shabiki wa soka:
Kete yako unaitupa wapi leo? Weka utabiri wako hapa chini!
- Je, mbinu na uzalendo wa Taifa Stars utatosha kuwazuia Simba wa Teranga?
- Au uzoefu na ukongwe wa Senegal utatawala mchezo wa leo?
Game ipo on fire dakika 5 ya mchezo
Dakika 7 Serengeti Boys wanafunga goliiiiii zuri sana
Dakika 11, Serengeti boys wanapeleka moto
Dakika 22, Bado vijana wa Tanzania wanaongoza
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika kibabe kabisa Serengeti Boys wakitoka na uongozi wa goli moja kwa sifuri
Dakika 45 za kipindi cha pili zimeanza
Acha kwanza wadandia tren na viherehere watulie.Duh!...Siasa kwa timu yoyote huwezi kuikwepa zama hizi nchi hii.
Kwa hiyo watakie heri vijana mengine yanapita tu.
Nimefurahiiiii tulivyofungwa. Kuna lile wazir lilojivisha kazi za bmt na tffFull time Senegal 5 Tanzakenge 0
Na WC lazima tubebeNamshukuru Mungu chama langu Senegale limebeba kombe
Limesaidi kuondoa noise pollution humu taifani
Kupika saa 5?Wote mnashangilia mpira ephen_ na Mwachiluwi wanajipikilisha
Nina masikitiko makubwa walitutapeli Afcon yetuNa WC lazima tubebe
Mwaka wetu senegali huu
Basi tumeambiwa asante kwa kushirikiHakunaga nafasi ya pili, 😂
Wewe na nani mkuu?Nina masikitiko makubwa walitutapeli Afcon yetu
Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (U-17), maarufu kama Serengeti Boys, leo inashuka dimbani kuivaa Senegal U-17 katika mchezo wa mwisho wa michuano ya TotalEnergies AFCON U-17.
Mchezo huo utaanza saa 4:00 usiku katika Uwanja wa Stade Moulay Hassan, Rabat, Morocco, ambapo Tanzania U-17 (Serengeti Boys) itakuwa ikimenyana na Senegal U-17 katika fainali ya michuano ya CAF U-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026.
Senegal wanakuja wakiwa na uzoefu mkubwa, nguvu, na kasi, lakini soka la kisasa limeonyesha kuwa dakika 90 ndizo zinazoamua na hakuna timu ndogo tena Afrika.
Swali linarudi kwako shabiki wa soka:
Kete yako unaitupa wapi leo? Weka utabiri wako hapa chini!
- Je, mbinu na uzalendo wa Taifa Stars utatosha kuwazuia Simba wa Teranga?
- Au uzoefu na ukongwe wa Senegal utatawala mchezo wa leo?
Game ipo on fire dakika 5 ya mchezo
Dakika 7 Serengeti Boys wanafunga goliiiiii zuri sana
Dakika 11, Serengeti boys wanapeleka moto
Dakika 22, Bado vijana wa Tanzania wanaongoza
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika kibabe kabisa Serengeti Boys wakitoka na uongozi wa goli moja kwa sifuri
Dakika 45 za kipindi cha pili zimeanza
Nakukubali sana mkuuWakishinda na kuchukua ubingwa sifa zote atapewa mtu ambaye hajavuja jasho! Kwa hali hii bora wafungwe tu na kuukosa huo ubingwa ili CHAWA watulie.
Una utani wa ngumi 😂😂Wote mnashangilia mpira ephen_ na Mwachiluwi wanajipikilisha