Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2

Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2

 
Kuna watu walitoa ushauri mzuri kama ifuatavyo:
1. Tusiwaongezee pressure vijana kwa kuwapa ahadi mpya ya fedha na mambo mengine.
Hili naona tayari limeshakijkwa!
2. Watu wasiende huko kwa kisingizio cha kuongeza nguvu! Hili litakuwa shinikizo la ziada na litakuqa na athari hasi.
Hili pia tayari limeshakiukwa!
Kutokutekeleza na kukiuka ushauri huo ina maana tayari mchawi wetu tumeshampata tayari!
Tuombe .ungu atulinde na wachawi hao, vijana wetu washinde shinikizo hili la ziada!
 
Kila la heri SERENGETI BOYS 🇹🇿💪
 

Attachments

  • 20260602_214111.jpg
    20260602_214111.jpg
    279.5 KB · Views: 13
Dogo Abdul Timu ya CCM lazima ifungwe,na mam ako yuko rashia sio atakuwa anafatilia
 
Me naona tupigwe tu tz ikichukua ndoo utaskia mama anaupiga mwingi mara pongezi ziende kwa bashite kwa kutuletea rio
Naunga mkono hoja tuchezee kipigo kizito. Kelele zisiwe nyingi
 
Back
Top Bottom