Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 3,637
- 8,214
I gat your point, ngoja tuone hadi mwishowanapiga kinoma mademu unafiri hapo inaenda tokea nini
I gat your point, ngoja tuone hadi mwishowanapiga kinoma mademu unafiri hapo inaenda tokea nini
Kila la kheri SenegalI gat your point, ngoja tuone hadi mwisho
Tunamshukuru Mama Samia
hawa hapa Andromeda GalaxyHatutaki noise pollution za chawa wa mama humu ndani
Me nipo kwa yeyote atakayeibuka mshindiKila la kheri Senegal
Naunga mkono hojaWataongea sana, ni kheri tupigwe ili mdomo ufungwe 😅
Itakuwa wimbo ni mama tu, kama yeye ndio alikuwa dimbaniNaunga mkono hoja
Kipa yuko poaKila la heri Tz
Mademu siyo watu wazuriSio mbaya, sijui kwanini hawa watoto wakikua mpira huwa unaisha
Soma matokeo halafu urudi hapaHayo matanzania yanapigwa 2 bila mazafaka
Me naona tupigwe tu tz ikichukua ndoo utaskia mama anaupiga mwingi mara pongezi ziende kwa bashite kwa kutuletea rio
Transition ya mpira wa vijana wadogo mpka mpira wa watu wazima.Sio mbaya, sijui kwanini hawa watoto wakikua mpira huwa unaisha
Au kisa kutaka kuonekanaLakini leo naona madogo wamekuwa na ubinafsi sana...hawaachii pasi mapema...sijui shida nn
Shida kuwakuza baada ya hapo ndio kipengeleMadogo wapo vizuri. Huu mpira unavutia way better than Taifa Stars.
Ndiyo yeyeHuyu Mbegu Sijamuelewa...
Mbegu..? Ni yule wa Simba?