uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,101
- 31,995
Kipa wa Senegal ana injurySio mbaya, sijui kwanini hawa watoto wakikua mpira huwa unaisha
Kipa wa Senegal ana injurySio mbaya, sijui kwanini hawa watoto wakikua mpira huwa unaisha
PenatiHivi mwendo ni huo huo wa penati baada ya tisini kama ni sare au wataongeza thelathini?
mapenziSio mbaya, sijui kwanini hawa watoto wakikua mpira huwa unaisha
Wakishinda hatutalala.Siasa ndio zinaua mambp
Hawawezi kushindaWakishinda hatutalala.
0-1
Makonda amelaaniwaHawawezi kushinda
Nafikiri hivyo, maana sio kwa saves zile alizofanya dhidi ya moroccoKipa wa Senegal ana injury
Kwani hao wa nchi nyingine kama hiyo Senegal wao hawafanyi mapenzimapenzi
Wataongea sana, ni kheri tupigwe ili mdomo ufungwe 😅Wakishinda hatutalala.
0-1
Mungu nisaidie kunyamazaKuna watu wataumbuka humu tusubiri dakika 90
wenzetu wana mikakati ya mda mrefu, vijana wao hapo wanakaa kambi za mda mrefu . Sie hao wakirudi wanasambaa wanaenda kuishi kila mmoja kisela sela huko hakuna tena uangalizi ndio vipaji vinaenda kuishia hukoKwani hao wa nchi nyingine kama hiyo Senegal wao hawafanyi mapenzi
Halafu pia wanakuwa washakuwa mastaa, huko mtaani madem wote wanajikuta wenyewewenzetu wana mikakati ya mda mrefu, vijana wao hapo wanakaa kambi za mda mrefu . Sie hao wakirudi wanasambaa wanaenda kuishi kila mmoja kisela sela huko hakuna tena uangalizi ndio vipaji vinaenda kuishia huko
Muda badoChama langu Senegale wananiangusha
wanapiga kinoma mademu unafiri hapo inaenda tokea niniHalafu pia wanakuwa washakuwa mastaa, huko mtaani madem wote wanajikuta wenyewe
Hatutaki noise pollution za chawa wa mama humu ndaniMuda bado