Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2

Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2

Mwaga moto 🔥🔥🔥🔥🔥 kwa Senegal 🇸🇳🇸🇳🇸🇳🇸🇳🇸🇳🇸🇳
 
Lakini leo naona madogo wamekuwa na ubinafsi sana...hawaachii pasi mapema...sijui shida nn
, Ni kweli. Bila ubinafsi tungekuwa na goli kama tatu hivi!! Isije ikawa kila mfungaji wa goli ameahidiwa kitu fulani vile!!
 
Back
Top Bottom