gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Wewe si ni miongoni mwa zile mbegu mbaya zilizofumuliwa oktoba,hamkuishasijui kwanini nimefurahi baada ya goli kusawazishwa😁 ila moyo dah!
Wewe si ni miongoni mwa zile mbegu mbaya zilizofumuliwa oktoba,hamkuishasijui kwanini nimefurahi baada ya goli kusawazishwa😁 ila moyo dah!
75Dakika ya ngapi?
15 za moto
Sasa hivi yamesinzia.hawa madogo wapigwe tu
kuna wapumbavu washa dandia pambano lao na kutaka kuchukua point 3
sina shida na madogo shida yangu sitaki sipendelei machawayaliyojazana kwenye ndege.Wewe si ni miongoni mwa zile mbegu mbaya zilizofumuliwa oktoba,hamkuisha
wewe ni mimi mtupu, likiongezwa burudani sanasijui kwanini nimefurahi baada ya goli kusawazishwa😁 ila moyo dah!
Hatari mkuu15 za moto
Machawa au watanzania walioenda kushangilia timu Yao!?sina shida na madogo shida yangu sitaki sipendelei machawayaliyojazana kwenye ndege.
halafu swala la kufumuliwa oktoba mbona ni la kawaida tu unamtanguliza mwenzako jela wakati na wewe lazima utaenda huko
Sasa nimejua ID yako nyingine ni Desierto.wewe ni mimi mtupu, likiongezwa burudani sana
Unauliza majibu mkuu!Machawa au watanzania walioenda kushangilia timu Yao!?
Bado 715 za moto
Wanauzi sanasina shida na madogo shida yangu sitaki sipendelei machawayaliyojazana kwenye ndege.
halafu swala la kufumuliwa oktoba mbona ni la kawaida tu unamtanguliza mwenzako jela wakati na wewe lazima utaenda huko
mkuu angalia nimejiunga mwaka gani sina haja ya kuwa na ID 2