comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kumbe Kuna mech
Mitambo imechezaNaona azam wamekatisha matangazo
wapate heri wapumbavu waje kutusumbuaHao vijana hawana kosa hivyo waombee heri tu.
Wanasiasa wanakata sana mzuka wa kuzipenda hizi timu za taifa.ila mimi sitanii mkuu natamani vijana wapigwe watoke
wamepambana sana kufika fainali ila wapumbavu wanaenda dandia juhudi zao
Walivyo anza kutaja muuaji SAMIA nikajua ushindi haupo .Binafsi Niko kama wewe. Imagine watu wanadandia treni kwa mbele.
sana mkuu, jamaa wamesha tugawa, mapenzi na timu zetu yanaenda yanaishaWanasiasa wanakata sana mzuka wa kuzipenda hizi timu za taifa.
Kabisasana mkuu, jamaa wamesha tugawa, mapenzi na timu zetu yanaenda yanaisha
Wameona vijana wanashine ndo wameanza kujipendekeza.Walivyo anza kutaja muuaji SAMIA nikajua ushindi haupo .
SAMIA NI SHETANI MUNGU HAMPENDI.
Na nyie mkakubali kugawika mpaka mnawatakia mabaya watoto wenu.sana mkuu, jamaa wamesha tugawa, mapenzi na timu zetu yanaenda yanaisha
Makonda Waziri wao Amelaaniwa!!!Hao vijana hawana kosa hivyo waombee heri tu.
Inaendaje?Bado tuta moja tu tukalale
Nafasi yetu ni ya 2Oya mbona hamtoi updates