cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
MM mie bora nikose kula kuliko boli, napenda Boli vibaya mnooo.Wewe mpira najua ata hauangalii, mi nasubiria matokeo tu
Siangalii kwa kuwa niko sehemu hainiruhusu hapa.
MM mie bora nikose kula kuliko boli, napenda Boli vibaya mnooo.Wewe mpira najua ata hauangalii, mi nasubiria matokeo tu
Jamaniiii 😂😂😂Ushindi gani tena??
Ushindi wa njaaUshindi gani tena??
Duh!...bahati nasibutujiandae mikwaju ya matuta
Muda bado bhanaa.Ubingwa umeyeyuka 🇸🇳1-🇹🇿1
Utani wa hapa na pale tu mkuu 😂.mkuu angalia nimejiunga mwaka gani sina haja ya kuwa na ID 2
ila mimi sitanii mkuu natamani vijana wapigwe watokeUtani wa hapa na pale tu mkuu 😂.
Waja mna nongwa nyie alooo 😂😂😂Ushindi wa njaa
Hao vijana hawana kosa hivyo waombee heri tu.ila mimi sitanii mkuu natamani vijana wapigwe watoke
wamepambana sana kufika fainali ila wapumbavu wanaenda dandia juhudi zao
ila mimi sitanii mkuu natamani vijana wapigwe watoke
wamepambana sana kufika fainali ila wapumbavu wanaenda dandia juhudhili kombe libakie tu huko huko aisee
Mtu anayewatakia vijana shida kwa maamuzi ambayo hawana mamlaka nayo ana shida ya akiliHao vijana hawana kosa hivyo waombee heri tu.
Hapana ni direct to penaltiesDakika 130
Ok sawaHapana ni direct to penalties
Binafsi Niko kama wewe. Imagine watu wanadandia treni kwa mbele.ila mimi sitanii mkuu natamani vijana wapigwe watoke
wamepambana sana kufika fainali ila wapumbavu wanaenda dandia juhudi zao