Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2


Tatizo wanatafuta sifa na kujipendekeza katika kila jambo ili waonekane wao ndiyo wanafanya...

Wanajiingiza ili wakishinda basi wao wameimbiwe mapambio.....

Wangeachwa tu wapambanie hilo kombe kama motisha pekee kwao, si kuingiza sijui nini....

Kila kitu lazima iwekewe siasa, wanasiasa wanaingia kutafuta sifa binafsi.
 
TANZANIA ingeshinda kama SAMIA (SHETANI) asinge tajwa kwenye hamasa na maombi. MUNGU wetu hapendi waabudu shetani
 
Wanakera sana hawa veggies, basi tuu aah.
 
Alhamdullilah kwa matokeo mazuri waliyoyapata timu yetu ya vijana ya Senegal.
 
Tuliwaambia mapema waacheni madogo wamalize kama walivyoanza lakini mkipelekana huko mkajazana machawa mtawapa pressure madogo mtawatoa mchezoni na ndio kilichotokea..🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…