Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,268
Twaweza, synovate Na webgine wamesema yanga anapigwa tena peku
Shemejiiiiiii upo? Leo hamchomoki kwa mnyama
haaaaa Shemeji kwa mujibu wa TWAWEZA
Yanga 3 Simba 0
Tupe update
Hahahaah nasikia twaweza eti wanachakachua matokeo
Bado bilabila ila yanga wanashambuliwa sana
yanga mdebwedo...
Haaaaaaaa...
Update zako ziko biased zinawa favour Simba lols
Ulikuwa unamaanisha simba....
hao yebo yebo bado hawajafungwa tu mpka sa hizi... leo wanabana ila lazima wataachia