Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Yanga chupuchupu. Kona ambayo haina madhara. Kipa wa yanga barthez yupo chini
 
Hawa vimba macho wamekata umeme,wanadhani sie tutaangalieje mpira.ndo mana mi CCM siipendi kabisa
 
hao yebo yebo bado hawajafungwa tu mpka sa hizi... leo wanabana ila lazima wataachia
 
Back
Top Bottom