Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Man City kapigwa Goli 4 hadi sasa na Totternham akifungwa Moja tu...
Totternham katokea nyuma na kumpiga Nne
 
mpira uko balanced. mambo yakiwa hivi inawezekana matokeo yakaamuliwa na timu yenye vipaji binafsi vilivyo bora zaidi.
 
Kazimoto anaonesha hapa kwanini anaitwa Ball Dancer.
 
Makoye yu wapi? Bantu Lady? Yahoo? Wonderful?

njooni huku hawa watani wenu wanawasemea mbofumbofu huku bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…