Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani hapa hata ukiweka mkate mi naweka laki mbili najua lazima nile mkate wako lol!!! simba chama kubwa wewe
Ndio city kapigwa nne
Kiiza kakosa hapa.
nimeweka dau dogo usishindwe kulipa,na ntakupa Mpesa ya Lowasa utupe kule moja kwa moja kwa ajili ya mabadiliko
Hivi wewe unatangaza ukiwa uwanjani, bar au nyumbani kwako?
nipo kitandani na bebiHivi wewe unatangaza ukiwa uwanjani, bar au nyumbani kwako?
Mama yangu,!!!!!!
Haaaaaa endelea kuota ndoto za mchana LOL.
nipo kitandani na bebi
Kafanyaje
Nimeona uwanjani wakionesha ishala ya MABADILIKO..siasa hadi uwanjani..mwaka huu mgumu
teh teh teh,ni kupasha pasha viungo tu mech ni saa4Teh teh teh, utuletee na matokeo ya huko
Aaah! Mshangao man city kupigwa 4
yanga yangu piga hao mkia fc warudi porini