OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #221
Makoye yu wapi? Bantu Lady? Yahoo? Wonderful?
njooni huku hawa watani wenu wanawasemea mbofumbofu huku bana!
Laki 2Tupinge haaaaa
Laki 2
Laki 2
Simba atashinda mbili bila
Kudadeki Kiizaaaaaa wanaokoa konaa
tanesco shikamoo
Tupinge haaaaa
nimeweka dau dogo usishindwe kulipa,na ntakupa Mpesa ya Lowasa utupe kule moja kwa moja kwa ajili ya mabadilikoTzs ama????
Dakika ya 27 sasa ninaogea kwa kujiamini kabisa simba tunamfunga tena nyingi tu
mpira uko balanced. mambo yakiwa hivi inawezekana matokeo yakaamuliwa na timu yenye vipaji binafsi vilivyo bora zaidi.
Kudadeki Kiizaaaaaa wanaokoa konaa
Dakika ya 26 bila bila