Mpira dk 90 au mmesahau mlivyotufunga ,,,3-0 kipindi cha kwanza tukachomoa zote
So sad
Hata mie hicho kibwagizo cha CCM huwa kinaniudhi
Bado 2 nilichopredict kitimie
Wamebana bana wameshaachia...
Mwanzo tulikuwa tunawasoma wakaona siiiifa na anao anao,sisi tukiupata kitu kinajaa wavuni.
Hata mie hicho kibwagizo cha CCM huwa kinaniudhi
Leo tutawafunga nyingi tu maana hakuna namna tena.
Na iwe hivyo...mi naongeza 1 ziwe 3
Long time Friend.... are u good
Mpira dk 90 au mmesahau mlivyotufunga ,,,3-0 kipindi cha kwanza tukachomoa zote
Hata mie hicho kibwagizo cha CCM huwa kinaniudhi
Hakuna jf member atuwekee hapa
saa yako inasema mpira umeishaa?
Mhmhmh Polee Last Time Waliimba Mabadiliko Lowassa Mkafurahi,leo Vipi?