Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Yanga wakizingua leo hawatoki taifa.
Wametunyima raha kwa muda mrefu.

Wapigeni tatu hao wanyamaaa.
 
Hata mie hicho kibwagizo cha CCM huwa kinaniudhi

Kimenikera sana mkuu hadi nimeshindwa kushangilia vizuri!
Ni hivi naipenda yanga kindakindaki ningefanya maamuzi magumu leo maana mashabiki wenzangu wamenikera sana.
 
Mbona hii mechi nyepesi sana kwa Simba....Yanga lazima apigwe ...
 
Back
Top Bottom