Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga leo lazima tufungwe, tumetangulia tuu na baiskeli ya mti
narudia tena usemi wangu kwenye page 2, mi mwongo?
Mtawale nyie wakoloni?!chama mfuSIMBA tunashinda, NA CCM TUNAENDELEA KUTAWALA NCHI
Yanga wakizingua leo hawatoki taifa.
Wametunyima raha kwa muda mrefu.
Wapigeni tatu hao wanyamaaa.
Yanga wanapigwa hata iweje
Tulia wewe,naona unajipa moyo usidhani hatukumbuki kiapo chako,ndio ujifunze kuweka akiba ya maneno.
Naomba kufahamu matokeo ya leo simba na yanga
Yanga wanapigwa hata iweje
Mtawale nyie wakoloni?!chama mfu
Hata mie hicho kibwagizo cha CCM huwa kinaniudhi
Nimuda ukitimia
Hawawezi
Nikajua umeshakula kona....kumbe upo kushuhudia mnavyokufa....
Naomba kufahamu matokeo ya leo simba na yanga