LEo sisi YAnga tumewabahatisha hawa Simba.
naona refa kishajipatia kitita chake leo...
View attachment 291497 simba kapakatwa.!
Haaaaaa hamkosi sababu.....
Njoo nikutukize machungu haaa
mkuu bado moja j. Nature alisema 3-0!
Wakuu ngapi ngapi?
Yanga wanafanya mabadiliko...
Mabadiliko Yanga...UTAIPENDA TU.