Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Attachments

  • 1443279594010.jpg
    1443279594010.jpg
    28.3 KB · Views: 309
Asee Leo full raha man city kakaaa simba kakaa Man U nae akikaa then the Blues tukishinda yaan itakua poa sana!

Man utd hakai ila nyie the Blue mkae tena mkae kama alivyokalishwa man city.
YANGA SAFIII
 
Hata nikirudi nyumbani naamini mnyama ashakufa tusubiri tu tarehe ya mazishi
 
Jaman watan wetu mupooooo!kila siku sio jumapili jaman!@viva yanga
 
Nina Allergy na rangi fulani. Sasa zikianza kupita na panya road wanywa viroba hawa itakuwa headache.
 
Back
Top Bottom