Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
kuna goli tena mkuu,siangalia huo mpira,vipi tunampakata mnyama
Mchek hapo alivyotulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna goli tena mkuu,siangalia huo mpira,vipi tunampakata mnyama
Asee Leo full raha man city kakaaa simba kakaa Man U nae akikaa then the Blues tukishinda yaan itakua poa sana!
Man u ashakalisha mtu kimoko
Kwa leo timu ya ccm imeshinda
Man utd hakai ila nyie the Blue mkae tena mkae kama alivyokalishwa man city.
YANGA SAFIII
Mchek hapo alivyotulia
Amepiga nn asije kua yule dogo
Pole kwa kufungwa ila siasa yako peleka hukooo, si kwamba kila mwana yanga ni ccm
yanga piga keleleeeeeeeeeeeeeeee... Tunaipenda yanga wana wa jangwani heheheheheeeeeeeeee
#teamyanga#