Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

hongereni ndala, ila hamna mpira tuwe wakweli tu, mnabutua butua na kusibiri matukio, mpira wa tanzania utakuja panda kiwango simba sc itakaporudi ktk hadhi yake, na ndiko inakoelekea sasa!
Mnyama kajeruhiwa, sasa yeyote atokeaye mbele ni bakora tu mpaka tunachukua ndoo!
Tuache ubishi, mpira wa kitabuni simba wanacheza, hii haina ubishi! Tumecheza mpira mzuri na kupoteza nafasi, yanga butua butua na kusubiri matukio, mpira wa kimataifa ndo maana hamsongi!
Tz ni ya simba sc.

jifari mkuu,sisi mbele kwa mbele
 
Simba IKIFUNGWA Leo Naweka Hadharani Nanihiii Something Yangu Ikatwe Vipande Vipande. Na Mshukuru Sana Huyo Mganga Wenu Mzee Majid Wa Pemba Kaweza Kujitahidi Kupunguza Idadi Ya Magoli Kutoka Goli 7 Tulizopanga Kuwafungeni Leo Na Badala Yake Tutawafunga Goli 2 - 0 au 1 - 0. Mchezo Tumeshaumaliza Alfajiri Ya Leo Na Wale Makomandoo Wa Yanga Watawaambieni Tulichowafanya Usiku Wa Saa 8 Leo Pale Taifa Mpaka Wakaomba Msaada Wa Police. Leo Tusipowafunga Hayo Magoli Niliyowaambieni Hapo Naandika Rasmi Barua Ya Kujitoa Ktk Kamati Ya UFUNDI Ya Simba Sports Club. Na Yanga Mlivyo Na Matatizo Leo Mzigo Wote ( HIRIZI ) Mmempa Beki Wenu Wa Kushoto Haji Mwinyi Na Sisi Baada Ya Kulijua Hilo Nasi Tumefanya KAFARA La Kufa Mtu Na Mkifanya Mzaha Leo Wana Yanga Mtawabeba Wengi Mno Taifa Kwa Kuzimia Na Hata Kufa Kabisa. Simba Sasa Hivi HATUTANII Kwani MAMBO Ya KIUFUNDI Tunayafanya Kwa UHAKIKA. Nawakumbusheni Tu Kuwa Baada Ya Mechi Msisahau Kukumbuka Kwenda Kumfukua Huyu Mzee Wenu Idrisa Mliyemzika Nusu Bagamoyo Kwani Saa 12 Maji Ya Bahari Yanaanza Kurudi Na Kujaa. Nisalimieni Sana Mchawi Wenu Mkubwa Mzee Bhinda Na Mwambieni Kuwa Gentamycine Namwomba Baada Ya Mechi Tu Aje Mango Garden Nimtoe Mawazo Ya Kufungwa Na Mnyama. Otherwise Tunamshukuru Mno Beki Yenu Namba 4 Kwa Kutusaidia KUFANIKISHA TULICHOKITAKA Kwenu Japo MLIJIFANYA KUMNYANG'ANYA SIMU Lakini Kwa UMAFIA Wa Simba TULIWEZA KUFANYA Nae MIKAKATI Na Tumeshamalizana Nae Na Kuna UWEZEKANO Kati Yake Yeye au Mtoto Wa Kagame Mido Mmoja Wapo AKACHEZA RAFU YA MAKUSUDI Ili Atolewe Mnyama TUMALIZE MECHI Mapema. Poleni Sana MAKOMANDOO Wa Yanga Mliojifanya MNALINDA Uwanja Leo USIKU Na Hicho TULICHOWAFANYIENI Mkawasimulie Na Wanayanga Wenzenu. Bado Azam Na Wao!

Haya sasa mzee wa tambo,mbwembwe leo umeangukia pua.
Tunaomba ulete hizo something nonino zikatwe vipande vipande basi?
Na huko kwenye kamati ya ufundi jitoe tu.
Inashangaza kijana unayejitapa msomi huku bado unategemea NDUMBA hadi karne hii.
Mimi naushauri hii ni dalili ya mambo yako kubuma,jiandae tu kupakatwa tena hapo October!
 
Tunamsubiri azam ashikishwe discipline

Mkuu sisi hata Azam sidhani kama tutawaweza, timu yetu bado ina mapungufu hasa beki na upande wa ushambuliaji na kilichosaidia ionekane kuhimili ni kujaza viungo wengi ndo maana Yanga walipokuwa wakiingia kwenye 18 mabeki walikuwa wakipata tabu sana.
 
hongereni Ndala, ila HAMNA mpira tuwe wakweli tu, mnabutua butua na kusibiri matukio, MPIRA WA TANZANIA UTAKUJA PANDA KIWANGO SIMBA SC ITAKAPORUDI KTK HADHI YAKE, na ndiko inakoelekea sasa!
MNYAMA KAJERUHIWA, sasa yeyote atokeaye mbele ni bakora tu mpaka tunachukua ndoo!
TUACHE UBISHI, MPIRA WA KITABUNI SIMBA WANACHEZA, hii haina ubishi! Tumecheza mpira mzuri na kupoteza nafasi, Yanga butua butua na kusubiri matukio, mpira wa kimataifa ndo maana hamsongi!
TZ NI YA SIMBA SC.

Mpira magoli mkuu sio kitabu. Haya basi huo mpira wenu wa kwenye kitabu mliocheza inabidi hizi goli 2 tuwape nyie maana ndio mlistahili kushinda. FULL TIME Simba 2 Yanga 0. Simba imeshinda kwa soka la kitabuni.
 
Back
Top Bottom