Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Kwa Azam naona kama hali itakuwa ile ile, ila kwa sababu mpira ni pamoja na bahati pengine bahati inaweza kuwa upande wetu siku hiyo.

Tatizo la Simba ni beki na mlinda mlango, rekebisheni hapo kama mnataka kushindaa.
 
Nilitabiri hili tokea mapema...raha sana kuwa shabiki wa Yanga,muda wote unajiamini.

Hongereni sana, ngoja tujipange kwenye mechi zinazofuata, Singano na Okwi tutawakumbuka sana.
 
Mkuu sisi hata Azam sidhani kama tutawaweza, timu yetu bado ina mapungufu hasa beki na upande wa ushambuliaji na kilichosaidia ionekane kuhimili ni kujaza viungo wengi ndo maana Yanga walipokuwa wakiingia kwenye 18 mabeki walikuwa wakipata tabu sana.

Ila mngeshinda sidhani kama huu upungufu mngeuona. Taratibu mnaanza kujitoa kasoro, mwisho mtarudi tena na ile kauli yenu kuwa bado mnajenga timu.
 
Sijifariji, nakwambia ukweli, sio kwamba mmetuacha point nne, ni mchezo mmoja tu!

sawa mkuu ila nafurahi tumewakata utepe msimu huu,simba bado usajili wenu hauna tija anatoka singano anakuja mgosi wapi na wapi
 
Ila mngeshinda sidhani kama huu upungufu mngeuona. Taratibu mnaanza kujitoa kasoro, mwisho mtarudi tena na ile kauli yenu kuwa bado mnajenga timu.
Tungeshinda ina maana tungekuwa ni wazuri kuliko nyie ndo maana ingekuwa vigumu kuona mapungufu.
 
Hongereni sana, ngoja tujipange kwenye mechi zinazofuata, Singano na Okwi tutawakumbuka sana.

Simba ina wachezaji wawili tu ninao wakumbuka katika historia:
(1) Duwa Said - Local player
(2) Emmanuel Okwi - International player

Waliobaki ni wa normal sana.
 
Simba ina wachezaji wawili tu ninao wakumbuka katika historia:
(1) Duwa Said - Local player
(2) Emmanuel Okwi - International player

Waliobaki ni wa normal sana.

Makoye, naona mmemshasahau Edward Chumila & Madaraka Selemani (Mzee wa Kiminyio) walivyokuwa wanawafanya enzi zile!
 
Simba ina wachezaji wawili tu ninao wakumbuka katika historia:
(1) Duwa Said - Local player
(2) Emmanuel Okwi - International player

Waliobaki ni wa normal sana.

Mkuu nadhani utakuwa unamanisha wale waliokuwa wakisumbua beki zenu, lakini huwezi kusahau vipaji kama Emmanuel Gabriel, Ulimboka Mwakingwe, George Masatu, Selemani Matola, Madaraka Selemani, Joseph Kaniki, Athumani Machupa na wengine wengi tu.
 
Nakubaliana na wewe 100%. Hili group la wachezaji walicheza hadi Fainali ya kombe la Aftica (CAF)..
 
Back
Top Bottom