Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Mbaazi ikikosa maua husingizia jua!

Kuna bao mlifunga na refa akakataa? Nimeangalia highlights na kuona kuwa dakika 7 ziliongezwa lakini refa alichezesha zaidi ya hizo dakika 7 mfano kipindi Twite anapewa red card ilikuwa dakika ya 98, yote hayo yalifanywa na refa ili angalau mpate hata goli moja kumbe watu wenyewe hambebeki!

Isingekuwa Tu Hiyo Picha Yako Ktk AVATAR Yako Leo Ungejuta Kunifahamu ILA Kila Ukinichokonoa Na Nikitaka Kukujibu Kwa Kukupa Kombora Hiyo Picha Inanizuia. Kama Vipi Tafuta ID Nyingine Halafu Usiweke Hiyo Picha Ktk AVATAR Yako Kisha Jipendekeze UYAKOGE Vizuri.
 
Nitakukuta Lodge au Guest House Gani Na Mimi Nije NIJISHINDILIE Zangu Mbili Kama Za Tambwe Na Busungu? Na Leo Ukifanya Masihara Dada Yangu UTAYAKOGA Kweli.

Mbona kwa maneno haya inaonekana wewe ndo Mdada??? Maneno ya kimama mama......pole sana lakini mwana vumilia tu
 
uploadfromtaptalk1443286124683.jpg
 
Mbona kwa maneno haya inaonekana wewe ndo Mdada??? Maneno ya kimama mama......pole sana lakini mwana vumilia tu

Nilijua tu leo akirudi atakuja na matusi kama kawaida yake,muache ajipooze machungu kwa matusi maana hana namna nyingine.
 
Nitakukuta Lodge au Guest House Gani Na Mimi Nije NIJISHINDILIE Zangu Mbili Kama Za Tambwe Na Busungu? Na Leo Ukifanya Masihara Dada Yangu UTAYAKOGA Kweli.

Huna jipya,umepakatwa huko naona umeamua kuporomosha mitusi...mie walaa nafurahi tu maana huu mwaka ni wangu.
Hii ni Yanga tu,jiandae kwa Lowassa hapo October ndio utawehuka kabisa.
 
Isingekuwa Tu Hiyo Picha Yako Ktk AVATAR Yako Leo Ungejuta Kunifahamu ILA Kila Ukinichokonoa Na Nikitaka Kukujibu Kwa Kukupa Kombora Hiyo Picha Inanizuia. Kama Vipi Tafuta ID Nyingine Halafu Usiweke Hiyo Picha Ktk AVATAR Yako Kisha Jipendekeze UYAKOGE Vizuri.

Hii ni mara ya 3 unanipa maelezo kama haya, basi mkuu naomba yaishe!

Pole sana kwa kichapo cha leo. Namshukuru Mungu kwamba nanyi leo mmeonja machungu ya kufungwa na mtani, hebu piga picha ilikuwaje kwetu ambao tumeishi bila kuwafunga tangu 2013?

Pamoja sana Mkuu. Simba na Yanga ni Watani wa Jadi siyo Maadui wa Jadi. Nani Mtani Jembe siyo mbali, jiandaeni mje mpoze machungu inshaallah.
 
Back
Top Bottom