GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mbaazi ikikosa maua husingizia jua!
Kuna bao mlifunga na refa akakataa? Nimeangalia highlights na kuona kuwa dakika 7 ziliongezwa lakini refa alichezesha zaidi ya hizo dakika 7 mfano kipindi Twite anapewa red card ilikuwa dakika ya 98, yote hayo yalifanywa na refa ili angalau mpate hata goli moja kumbe watu wenyewe hambebeki!
Isingekuwa Tu Hiyo Picha Yako Ktk AVATAR Yako Leo Ungejuta Kunifahamu ILA Kila Ukinichokonoa Na Nikitaka Kukujibu Kwa Kukupa Kombora Hiyo Picha Inanizuia. Kama Vipi Tafuta ID Nyingine Halafu Usiweke Hiyo Picha Ktk AVATAR Yako Kisha Jipendekeze UYAKOGE Vizuri.
