Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Uwiii leo raha zimenizidia, nashangilia bado ushindi kwenye kiwanja fulani hahaahahaaa.
Simba vepeee?
Msaga sumu ule wimbo wa Yanga anaimbaje etiiiiii hahahahhaaaa, siamini niko hapa mpk muda huu, habari ndiyo hiyoooooooo, piga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!

#teamyanga#
 

Upo g.mboto?...kuna baa moja karibu na maskani inapiga yanga mshabiki wa damu kwa kurudiarudia watu wanaserebuka tu
 
Huna jipya,umepakatwa huko naona umeamua kuporomosha mitusi...mie walaa nafurahi tu maana huu mwaka ni wangu.
Hii ni Yanga tu,jiandae kwa Lowassa hapo October ndio utawehuka kabisa.
Ohhh nifah I love u, marry me on October 26th tutakapokuwa tunapiga double
 
Last edited by a moderator:
Ohhh nifah I love u, marry me on October 26th tutakapokuwa tunapiga double

Hahahaaa tuombe kheri mkuu,October ndio mechi kali kabisa huenda tukapoteza watu!
Tushinde tu maana nitakuwa katika hali mbaya sana.
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu sembo sijui yupo katika hali gani huko aliko
 
Last edited by a moderator:
Yanga bado wanazungumzia tu mechi ya Jana???
 
Mods ebu toeni huu uzi, ushapitwa na wakati, kama taifa tuna mambo ya msingi ya kufanya sio watu wako bize kupoteza muda humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…