Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Wewe popoma GENTAMYCINE acha mbwembwe zako hizo za kizamani,nani asiyewajua wana msimbazi kwa maneno?
Mpira ungekuwa unachezwa nje ya uwanja basi hakika Simba wangekua ndio Mabingwa wa kihistoria ila kwakua mpira ni uwanjani basi wanaume wa shoka Dar Young Africans S.C ndio kubwa lao katika historia ya mpira ya Tanzania.
 
Last edited by a moderator:

Ahahah Nifah Tulia,tunawaweka Tu..Sisi Ndo Simba Hatung'ati Na Kupuliza Kama Panya,tunang'ata,tunatafuna Na Tunameza...
 
Last edited by a moderator:

pumba tupu,,,we kiazi kweli kweli
 
Ahahah Nifah Tulia,tunawaweka Tu..Sisi Ndo Simba Hatung'ati Na Kupuliza Kama Panya,tunang'ata,tunatafuna Na Tunameza...

Subiri na tuone,leo tusipowalamba goal 2-0 basi mmejijitutumua sana 2-1.
Hii copy aipate Masuke na Apologise lady
 
Last edited by a moderator:
Duh Mkuu Mbona Tupo Pamoja Kila Sehemu,tupo Wote Ccm Tupo Wote Simba Inasemekana Tupo Wote Chelsea!

We Koma! Ulaya Mimi Nipo " Ze Majanga Team " Liverpool FC. Tunangojea Leo Tufungwe ILI Tumsindikize Brendan Rodgers Kwa BAKORA Kama Ambavyo Leo Yanga FC Wanaenda KUWAFUKUZA Akina Van Pumbu Na Mikasa.
 
Mwenye link ya kustream tafadhari aweke .

Streams Zote Zimeelekezwa Ktk Mikutano Ya Kampeni Na Stream Pekee Iliyobakia Ni Ya Wewe Kujipigapiga MFUKONI Utoe Buku Saba Yako Utinge Uwanjani Upate Live Streaming.
 
yanga n yakimataifa,wamchangani mtaweza?,ngoja tuwaonyeshe leo
 
Leo ni ile siku nzuri ya kulipa kisasi kwa Zile 6 za Kibadeni na Zile 5 za Okwi...Yaani leo mnyama hatoki
 
Mambo vipi mkuu chickmaget?Umepotea sana.
Leo uko upande gani?Mikia au Mabingwa wa kihistoria wa nchi hii Young Africans S.C?
Nategemea utakuwa umejiandaa kisaikolojia na kipigo cha Leo.
 
Last edited by a moderator:
Leo Yanga lazima chamoto wakione tena itabidi wafungwa tano bila kabisa mnyama simba ni kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…