Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Leo ni ile siku nzuri ya kulipa kisasi kwa Zile 6 za Kibadeni na Zile 5 za Okwi...Yaani leo mnyama hatoki
Jidanganye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ni ile siku nzuri ya kulipa kisasi kwa Zile 6 za Kibadeni na Zile 5 za Okwi...Yaani leo mnyama hatoki
Leo draw
We Koma! Ulaya Mimi Nipo " Ze Majanga Team " Liverpool FC. Tunangojea Leo Tufungwe ILI Tumsindikize Brendan Rodgers Kwa BAKORA Kama Ambavyo Leo Yanga FC Wanaenda KUWAFUKUZA Akina Van Pumbu Na Mikasa.
Full Time: Yanga 2 - 1 Simba
Duuuuh.......Full Time: Yanga 2 - 1 Simba
Simba 3:2 yanga
Ushindwe.....
Hutaki sasa! Basi usiende uwanjani usije ukajirusha
Leo utatafuta pa kutokea...utajutaaaaaaaa
Mkuu kama hawakujiandaa tangu mapema, it's too late.. hakuna namna leo kipigo lazma kiwahusu.
Kwa kuonesha ni jinsi gani hujajiandaa kisaikolijia umeshatoka online!
Katika mashabiki wa mikia ninaowaoneaga huruma wewe ni mmojawapo!
Mkuu kama hawakujiandaa tangu mapema, it's too late.. hakuna namna leo kipigo lazma kiwahusu.