Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mke mwenza miss you, leo furaha tuuuuuu weekend tamuuu Heaven on Earth
Miss u badly.....
Raha tupu... ngoja waendelee kutupa raha
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke mwenza miss you, leo furaha tuuuuuu weekend tamuuu Heaven on Earth
mkuu unantaka nini na bango la matokeo unalionaWeka updates tafadhari
Simba kimyaaaa!Leo ni leo dadadeki.
Nasubiri goli lingine moja kama kuna zaidi kheri tu.
Imenichomaaaa
tulia binti
So sad
Simba ikishinda ukawa ikulu
Ila sina raha mashabiki wenzangu wa Yanga wanavyoimba CCM....
Huu ni undezi bhana!
Haaaaaa mambo yaanza kuwaendea kinyume
Yanga itashinda goli 1 litakalopatikana kipindi cha kwanza kupitia kwa mshambuliaji Hamisi Tambwe na mpaka dk 90 Yanga 1 Simba 0.
Lete utabiri wako hapa.
saa yako inasema mpira umeishaa?Tulia wewe mkuu maana umeshapakatwa tayari.
.....na bado.
Wameachia ...wameachia ...wameachia
jamani mi mwongo???????