Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuuuh.......tanesco wananisababishia presha tu hapa
Duuuuuh.......tanesco wananisababishia presha tu hapa
Tulieni hii mechi Simba hafungwi ....macho yangu hayajawahi kunidanganya....Yanga wanatulizwa kelele muda si mrefu....
chinja simba kama morani anavyochinja ng'ombe
Simba kaolewa live.
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhh haya bana
Hahahahahaaaaaaaaaaa
Mikia hoiiiiiiiiiii
Kifo cha mendeeeeee
hii mifala inaosikiliza mpira huku mnaangalia kwenye TV ,inakera mno.
wanashangilia wakati goli bado
Hewalaaaa mmwaaah bby!
Vipi wakuu updates
Haaaaaa..... hizi kelele hadi dakika 90. mwanzo mwisho mkuu