Wagumu sana.Mpaka wapigiwe nyimbo ndio wanashangilie..
Inaonesha watanzania hatuna furahaaaWengine wanashangaa tu wamenuna mpaka unajiuliza huwa wameenda kufanya nin uwanjani
Hivi huyu sinyorita ndiye yule wa clouds FM?Ubaya ubwela season 2 π¦
Ni kama ulivyosomaPoint yako hapo ni nini?
Aisee ni pic ya kwenda aiseeee πππ...hiyo kiuno..π³π³π³. mmmh.Yeah man
Ngoja nimtafute huko kwenye social networks....Ni balaa