Full Time | Simba SC 1 - 0 Gor Mahia FC | Simba Day - Septemba 10, 2025; Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

Full Time | Simba SC 1 - 0 Gor Mahia FC | Simba Day - Septemba 10, 2025; Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

Tupo tunapata burudani iliyopoa ya mboso. Sijui nani kamshauri aimbe live kwa beat za kupoa badala ya amsha amsha tunasinzia tu 😴😴😴
 
Mbosso kafundisha wasanii wa bongo jinsi ya kuimba na ku perform kwenye uwanja mkubwa!

Siyo kukimbia kimbia na kukoroma koroma🚮🚮
 
Huyu mtangazaji wa kiume yupo na Meena Ally anaitwa nani?
Ukiachana na wao kuongea sana Hadi kuboa.
Jamaa ana kauli chafu sana,watu tupo na watoto zetu na wakwe yeye anaongea ujinga hivi.
Anashindwa kuchuja kauli zake kuendana na hadhira
 
Hivi huyu mzee kwa nini Simba hawakutumia sauti ya kweli ya hiko chombo chake?
 
On the stage right now
semeji la Africa

Ahmed Ally
 
Back
Top Bottom