Vibaya sana. Tunalaanika kijingaDuh! Wanatuharibia Siku yetu
Umejidanganya aisee, siasa kama kawaida yao vialbu vya Simba na YangaNimefurahi sana.
No politics.
Mama Samia anatafutwa hapokei siju
Hajawahi kuwa na akiliHuyu jamaa aliye vaa kanzu mbona ana create tention za kijinga
We si unaona kile kichwa na uso mkuu? Hujui muonekano ule ni wa mtu wa namna gani? 😂😂😂Hajawahi kuwa na akili
Ilikuwa kidogo awe na down's syndromeWe si unaona kile kichwa na uso mkuu? Hujui muonekano ule ni wa mtu wa namna gani? 😂😂😂
Unamaanisha nini?Anayesema hivi ni shabiko wa simba
Ndio. Usonji bado upo pale kwa asilimia 45. 😂😂Ilikuwa kidogo awe na down's syndrome
Nilivomuana msigwa pale nikajua tu!! Nikabadilisha na kumuweka kobisi kikalaCCM inatumia mbinu za kishamba sana kushawishi watu
Upo kwa mkapa?
Kibanda umiza hapa mtaani; ntakusindikiza keshekutwaUpo kwa mkapa?