adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 Sep 10, 2025 #141 Jf imefungiwa mnapata wapi nguvu ya kushabikia Makolo ? hii ni mbinu ya kutupumbaza Watanzania stukeni
Jf imefungiwa mnapata wapi nguvu ya kushabikia Makolo ? hii ni mbinu ya kutupumbaza Watanzania stukeni
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 43,349 Reaction score 104,110 Sep 10, 2025 #142 Kapachino said: Kibanda umiza hapa mtaani; ntakusindikiza keshekutwa Click to expand... Maeneo gani?
Ibilisi Mjalaana JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 8,297 Reaction score 16,529 Sep 10, 2025 #143 Nyie mbumbumbu mechi imeanza?
Mrao keryo JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 2,301 Reaction score 3,042 Sep 10, 2025 #144 Siasa imeharibu kabisa hiyo Simba day
DELETED ACCOUNT JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 9,805 Reaction score 15,476 Sep 10, 2025 #145 Inabidi kwenye matukio kama haya, Simba ihakikishe inaweka mtu wake akae na warusha matangazo ya Azam kuhakikisha matukio yanarushwa kwa ufanisi. Kuna hali fulani ya kujirudia inayofanywa na Azam TV ya kukosa weledi katika shughuli za Simba.
Inabidi kwenye matukio kama haya, Simba ihakikishe inaweka mtu wake akae na warusha matangazo ya Azam kuhakikisha matukio yanarushwa kwa ufanisi. Kuna hali fulani ya kujirudia inayofanywa na Azam TV ya kukosa weledi katika shughuli za Simba.
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,987 Reaction score 27,554 Sep 10, 2025 #146 Mrao keryo said: Siasa imeharibu kabisa hiyo Simba day Click to expand... siasa ni maisha ndugu sioni tatizo liko wapi
Mrao keryo said: Siasa imeharibu kabisa hiyo Simba day Click to expand... siasa ni maisha ndugu sioni tatizo liko wapi
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Sep 10, 2025 #147 Red black said: Upi huo Tulia upate BURUDANI Click to expand... Mmeupiga mwingi sana watani. Kongole kwenu
Red black said: Upi huo Tulia upate BURUDANI Click to expand... Mmeupiga mwingi sana watani. Kongole kwenu
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Sep 10, 2025 Thread starter #148 GAME ON.. ngoja tuone ball tufanyeje analysis.
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Sep 10, 2025 Thread starter #149 Shadow7 said: Mmeupiga mwingi sana watani. Kongole kwenu Click to expand... Unyama mwingi 🦁
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Sep 10, 2025 #150 2.974 Aufrufe · 3.536 Reaktionen | WANASIMBA MMEUAAAA😂😂😂😂😂😂😂 | Simba Jr Sport+255 WANASIMBA MMEUAAAA😂😂😂😂😂😂😂. www.facebook.com
2.974 Aufrufe · 3.536 Reaktionen | WANASIMBA MMEUAAAA😂😂😂😂😂😂😂 | Simba Jr Sport+255 WANASIMBA MMEUAAAA😂😂😂😂😂😂😂. www.facebook.com
T Twin Tower JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 4,903 Reaction score 7,213 Sep 10, 2025 #151 Mazoezi ya kunyanyua makwapa yaanze
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Sep 10, 2025 #152 2.974 Aufrufe · 3.536 Reaktionen | WANASIMBA MMEUAAAA😂😂😂😂😂😂😂 | Simba Jr Sport+255 WANASIMBA MMEUAAAA😂😂😂😂😂😂😂. www.facebook.com
2.974 Aufrufe · 3.536 Reaktionen | WANASIMBA MMEUAAAA😂😂😂😂😂😂😂 | Simba Jr Sport+255 WANASIMBA MMEUAAAA😂😂😂😂😂😂😂. www.facebook.com
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Sep 10, 2025 #153 Mtupe na updates sasa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Sep 10, 2025 #154 2.974 Aufrufe · 3.536 Reaktionen | WANASIMBA MMEUAAAA😂😂😂😂😂😂😂 | Simba Jr Sport+255 WANASIMBA MMEUAAAA😂😂😂😂😂😂😂. www.facebook.com
2.974 Aufrufe · 3.536 Reaktionen | WANASIMBA MMEUAAAA😂😂😂😂😂😂😂 | Simba Jr Sport+255 WANASIMBA MMEUAAAA😂😂😂😂😂😂😂. www.facebook.com
Ibilisi Mjalaana JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 8,297 Reaction score 16,529 Sep 10, 2025 #155 Wekeni online Tv au app inayoonesha gemu ukiacha azamtv max
Mac Alpho JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 14,025 Reaction score 28,097 Sep 10, 2025 #156 Inakuwaje kocha anapata mawazo ya kumuanzisha Chasambi kama fullback wa kulia?
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 8,748 Reaction score 18,096 Sep 10, 2025 #157 Mbona kama wanafungika
msomi uchwara JF-Expert Member Joined Oct 17, 2017 Posts 4,796 Reaction score 9,165 Sep 10, 2025 #158 Hakuna timu hapa wakuu,,,Yanga tutajipigia vizuri tu.
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Sep 10, 2025 Thread starter #159 chuma ni moja huko hamza
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Sep 10, 2025 #160 Hatari sana