Unaaemea ipi free kick fc ama?Kwahy hi ndio timu ya kucheza na yanga[emoji23][emoji23]
Ngoja awashe vpnEdit hapo moderator simba 2 gor mahia 1
🤣🤣Ngoja awashe vpn
Mnasemaga hivi hivi mkikutana na Li Pacome linawachomeka.GAME OVER...mchezo ulikua mzuri sana.
Simba--2
Gor mahia --0
Game ilikua nzuri sana wachezaji wa Simba wanaonekana kuwa na energy ya kutosha aggressive uwanjani jambo ambalo linaonesha kuna improvement.
Maingizo mapya hapa naona usajili ulikua Bora sana.
according to my view kocha wa Simba anatakiwa kuongea na beki zake ziongeze umakini wakati wa kukaba.
Li Pacome limekusikia.Kuna timu zitakimbia uwanjani zikiwa zinacheza na SIMBA SC CLUB
Mwasibu, keshokutwa Yanga inacheza hivyo andaa calculator na makabrasha yako mengine kwaajili ya kutupa elimu juu ya wachezaji walioleta hasara. Tunakutegemea mkuu kwa uchambuzi wa kihasibu1-0
Huu ni uongo au dharau? Au kuona 2-0 mpaka VPN?
Hahahahah!! Mwasibu ni mzee wa kukurupukia matukio natamani nione msomi atakuja na yapi.Mwasibu, keshokutwa Yanga inacheza hivyo andaa calculator na makabrasha yako mengine kwaajili ya kutupa elimu juu ya wachezaji walioleta hasara. Tunakutegemea mkuu kwa uchambuzi wa kihasibu