Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 933
- 1,912
Tulichokiona kipindi cha kwanza ushauri wa bure ngao ya jamii msilete timu
Wacha roho mbaya wewe. Pira lote hilo wewe bado unaleta dharau ??Hapa hamna timu, Huyu kocha tuachane nae mapema kabla ligi haijaanza maana Naona ni aibu kubwa tunaenda kupata🚮
U.T.I suguIla Dar kuna watoto wakali, shida ni vimalaya
Sowah na Mwalimu hawana uwezo wa kumuweka nje Mukwala labda siasa itumikenauona msimu wa steve dese mukwala