Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kituuuuu
Nani kafungwachuma ni moja huko
hamza
Juu kumejaa kule atamtoa nani! Kama anataka kucheza kocha kampa option awe full beki wa kulia.Inakuwaje kocha anapata mawazo ya kumuanzisha Chasambi kama fullback wa kulia?
Hongereni sana.hamza Katia kamba
Kwa dakika chache nilizomuona hadi sasa hapo kulia sidhani kama atapaweza, muda mwingi anajisahau anajikuta yupo kati ya uwanja.Juu kumejaa kule atamtoa nani! Kama anataka kucheza kocha kampa option awe full beki wa kulia.
Ni uamuzi sahihi sana, nadhani ataimudu. Chasambi kiasili ni mkabaji mzuri.Inakuwaje kocha anapata mawazo ya kumuanzisha Chasambi kama fullback wa kulia?
Ishu sio CCM, ni uongozi wa timu ya Simba, je wanaweza toa nafasi hiyo kwa mwanasiasa mwingine nje ya cCM?CCM inatumia mbinu za kishamba sana kushawishi watu
Naita ushamba kwa sababu wanataka kutuaminisha kila mtu mwenye influence anaikubali CCM wakati kiasili tu hilo haliwezi kuwa kweli.Ishu sio CCM, ni uongozi wa timu ya Simba, je wanaweza toa nafasi hiyo kwa mwanasiasa mwingine nje ya cCM?
Yupo Elii mpanzu wao atawasaidia.Kama hii ndiyo simba mpya ya vikombe! Basi marefa wa msimu ulioisha waongezewe dau la sivyo haitanusa hata top 3😀🙌
Kama namba gani?Baadhi ya namba tuna players wa hovyo sana msimu huu.