Uwezo wao mdogo wa kujua nin wachukue.Azam wana makusudi sana na Simba. Yaani utambulisho wote hakuna shot hata moja ya kikosi kizima
Umeanza 😁😁Makolo kwenye ubora wao
View attachment 3469065
Kama una kama rakiki ndugu aliye lipia Azam package .. ongea nae utumie app ya Azam ku streamNaweza kuangaliaje hii game live
Ni makusudi tu.Uwezo wao mdogo wa kujua nin wachukue.
Anayesema hivi ni shabiko wa simbaWanasimba wana vibe la kutosha leo. Show imebamba sana. Ninatamani ningekuwepo uwanjani
Wapumbavu sanaNaona wanamtafuta Samia apige kampeni. Pumbavu kabisa hawa