United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Livepoor na Manchester united ni mapindikizi ya Uk na US yanatumika kuwapumbaza wa Africa msahau mali zenu za asiliSimba na Yanga ni mapandikizi ya ccm yanatumiwa kuwapumbaza watanzania wasidai katiba mpya au tume huru. Ziendelee kufungwa mpaka wazisahau
Simba na Yanga ni mapandikizi ya ccm yanatumiwa kuwapumbaza watanzania wasidai katiba mpya au tume huru. Ziendelee kufungwa mpaka wazisahau
Itakua jambo la aibu kinoma maana hawa jamaa hawana pointMaana yake ni kwamba mpira ukiisha hivi. Kesho mtakuwa mafasi ya tatu
Afu masindano FC mtakua nafasi ya kwanza au SioMaana yake ni kwamba mpira ukiisha hivi. Kesho mtakuwa mafasi ya tatu
Haiko mkianiTatizo la simba ninin Wadau
It is not supposed to be a draw. Wachezaji wapuuziAliesema leo ni sare labda atakua sahihi..na tuombe iwe hyo sare wakitupiga lingine ndo basi tena
Goooooaaaal Sfaxien 2
Hakuna mbinuSimba siwaoni wakishinda hii mechi
Mpaka sasa ni mwezi wa 6 huu yupo na timu, hata first eleven ya kikosi hana ana bahatisha tu kila mechi.Kwanini,
Uto ndio watsishia makundiKwa huu mpira bora tusihie makundi tusiende tia aibu huko mbele
Watashushwa na mechi ya constantineItakua jambo la aibu kinoma maana hawa jamaa hawana point
Nafasi ya 4Afu masindano FC mtakua nafasi ya kwanza au Sio
Sio kama anapenda ila kocha ana wachezaji wengi average ndo maana anajaribu kutest kila mchezaji we angalia mavambo alianzajw ila now yuko wapi? Kocha ana kazi kubwa sana na hawa wachezaji wasiofundishikaMpaka sasa ni mwezi wa 6 huu yupo na timu, hata first eleven ya kikosi hana ana bahatisha tu kila mechi.